Bondia kutoka tanga allan kamote amewahid wananchi wa jijini tanga jana katika kipindi cha EATV kinacho julikana kwa jina la KURASA jana alan kamote amesikika akimtambia mwenzake benjamin kuwa awemakin kwa mchezo atakaomuenyesha maana yeye amejipanga vilivyo kwa hyo bass yeye sio mara ya kwanza kuja jijin Dar kupambana na wala hakuja Dar kushangaa magari yeye yupo vzur na pia amemwambia benjamin awaonyeshe mashabiki wake mchezo sio kukurupuka kwa kujijaza sifa hayo ameyasema kamote
kamote ni mpiganaji mzur na pia hakuwahi kupigawa toka aanze na mapambano haya ya ndondi ,ni muda mchache kutoka sasa umesalia kamote kuingia ulingoni naa min mashabiki kutoka tanga wapo walioenda kumpa sapot na pia ambao hawakuhudhuria wanategemea ushindi kutoka kwake
No comments:
Post a Comment