..

..
.

Tuesday, September 8, 2015

COASTAL UNION YANYAKUA MILIONO ISHIRINI NA TANO ZA NSSF

 Mkono wa kushoto ni mkurugenzi wa NSSF taifa,Dkt.Ramadhani Dau akimkabizi mchezaji wa timu ya Coastal Union ya jijini Tanga cheki ya million 25 juzi uwanja wa Mkwakwani alipotembelea pambano la karne dhidi ya African Sports ambapo matokeo Coastal Union ilitoka kwa ushindi wa bao 1-0.
 Pichani mkono wa kushoto aliyevaa fulana ya mistari na miwani ni mkurugenzi mkuu wa NSSF taifa,Ramadhani Dau mara baada ya kumkabidhi cheki ya million 25,mchezaji wa timu ya Arican Sports akitoa maelekezo.
 Pichani ni mkurugenzi mkuu NSSF taifa,Dkt.Dau akiteta kitu na meneja wa NSSF mkoa wa mkoa wa Tanga,Dkt.Frank Maduga ambaye amevaa fulana ya njano mkono wa kulia juu ya zawadi za washindi .
Hizi ni zawadi zilizotolewa kwa timu za soka wanaume na wanawake juzi mkoani Tanga.

Saturday, January 3, 2015

COASTAL UNION KUIVAMIA JKT RYVU LEO MKWAKWANI JIJIN TANGA


 Hichi ndicho kikosi kamili cha COASTAL UNION kitakacho ikabili JKT RUVU ya jijin Dar leo saa kumi mchana mtanange huo utachezwa katika viwanja vya mkwakwani amabapo timu ya coastal union waiki iliopita ilicheza na prison ya mbeya ikatoa droo ikiwa katika nafasi ya tano coastal union na poit 23 leo itacheza kwa jihad zote kuweza kupata point 26 muhim
Na hichi ndicho kikosi cha JKT RUVU ya JIJIN DAR kitakacho ikabili COASTAL union mnamo saa kumi alasir ndani ya uwanja wa mkwakwani leo hii jumamosi tarehe 3/1/2015
Kocha wa COASTAL UNION James Nandwa leo ameongea nami kataka uwanja wa popatlal na kusema timu iimejipanga na yupo kimapambano zaid na si katika kutafuta droolengoni timu kuwa ya kwanza katika msimamo wa ligui kuu ya vodacom ameyasema hayo.

Thursday, January 1, 2015

Mpira umesha anza Lipul fc vs African sports

Hichi ndicho kikosi cha leo dhid ya lipuli ya iringa
1 yussuf abdul
2 halfan mwenye (kigozi)
3 mussa ally
4 mwaita gereza
5 juma shemvua
6 sultan juma
7ally kolabibo
8 paulo john
9 ally ahmed (shibol)
10 james mendi
11 nyanda enock
Sub
Tokala nzau
ally
Ayoub masoud
Maulid abas
Fadhili kizenga
Everest munjwahuki


Hawa ndio wana lipuli wa iringa ambapo mtanange unachezwa katika uwanja wa Samora stadium (iringa)

Wednesday, December 31, 2014

AFRICAN SPORTS IPO TAYAR KUIVAA LIPULI HAPO JANUARY /1/2015

Timu ya jijini tanga african sports ambayo mpaka sasa imenyakua points 23 katika msimamo wa ligi daraja la kwanza hapo kesho january mosi 2015 itaumana na lipuli ya iringa na katika kinyanganyia kushika nafas nimeongea na kocha wa african sports kwa njia ya sm amesema wamejiandaa vyema na wako tayar kuivaa lipuli kesho mnamo saa kumi mchana pamoja na hayo amesema kuwa kunachangamoto katika uwanja wao ambao ni huu
huu ni uwanja ambao umendaliwa kwa ajili ya mechi ya kesho dhid ya AFRICAN SPORTS NA LIPULI
 Leo asubuhi wachezaji wetu wamefanya mazoezi uwanja wa samora (iringa) ya kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya lipul fc

COASTAL WATOA SARE NA TANZANIA PRISON

466559_heroa
Coastal union ya jijini Tanga wametoka sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa sokoine.

Katika mchezo huo wa leo uliotanguliwa na mvua na kupelekea uwanja kuwa na utelezi kila upande wametengeneza nafasi ambazo hakuna aliyeitumia vyema.

Katika hatua nyingine mchezo wa ligi kuu ya vodacom kati ya mtibwa sugar na stand united ulivunjika katika dakika ya 6 kama tulivyo ripoti hapo awali na mchezo huo unatarajiwa kuhitimishwa kesho saa mbili asubuhi.

KARIBU