..

..
.

Sunday, July 28, 2013

NI WIKEEND YA MECHI JIJINI TANGA KATI YA COASTAL UNION VS SIMBA SPORTS CLUB

Simba SC 
Nibaada ya URA kufungwa bao mmoja bila zidi ya Coastal Union ya jiji tanga Simba nao wanaomba mechi ya  kirafiki ambako mtanange uta ungurumishwa mida ya saaa tisa mchana ala asiri katika viwanja vya mkwakwani  
hiyo ndio nembo ya Rasmi ya Simba Sports Club
Coastal Union - Tanga, Tanzania 

 Ikiwa coastal wamejipanga kwa ligi kuu ya voda com kwao wanaona ni vzur zaid kwa kuwa wanapata nafasi ya kusoma mchezo kwa ajili ya ligi hivyo bac simba wame wapachanc nzur wapinzani wao coastal union kwa kusoma mchezo zaid 
Hiyo hapo juu ni nembo rasmi ya Coasta Union


No comments:

Post a Comment

KARIBU