..

..
.

Tuesday 15 May 2012

                                            LINDA HESHIMA YAKO EPUKA TAMAA
Ukiwa kijana majaribu mingi utakutana nayo na kama ukiwa hauja jitambua  basi jua mingi yatakukuta bila kuzingatia wewe ninani katika jamii ndio hapo unapo kosa kuheshimiwa maana matendo yako yamekuwa tofauti kutokana na jamii uliyo kuwa nayo 

TAMAA
Hakika hili ndilo jambo kubwa na katika vijana wengi wameshndwa kuji control kwa tamaa wameipoke kama ilvyo na waana ifanyia kazi katika mazingira mbayo wengi wanaishilia kubaya 
Ushauri 
Kila ukitenda jambo ovu bila ya kulichukia moyoni na kulijutia kwa imani hakika litazaa ovu jingine 
mfano kama wewe ni mzinzi usipo kuwa makini jua uta angukia kubaya 

No comments:

Post a Comment

KARIBU