WAKATI
Walio wengi katika group la vijana wakati una wapeleka sana na kushindwa kuelewa wanacho kifanya nini kwa wakati huo na kuja tahamaki wakati umesha wapita na laaana hawana zaidi ya mkulaumu tena zaidi kuwa laumu wazazi wao na shauri ikiwa umebahatika ukpata wakukudhamini katika sehemu yoyote ya maendeleo basi fanya juhudi kujiendeleza kwa wakati huo elewa kijana wakati haurudi nyuma wa kulaumu sio nyenzo ya mafanikio yako daima jiendeleze iliTaifa lijue kuwa kuna mtu anaelitimikia Taifa kwa malengomema
WAJIBU
Popote ulipo wajibika lelemama si katika sehemu ya fanikio yako unapo jituma nikwa mafanikio yako haitakuwa ni faida ya boss wako ila ni kwa kwa ajili yako thamin na linda kinacho kulisha naomba mjielewe vijana kila mnapo fanya jambo la maendeleo
sawa sawa anko ila we mkali
ReplyDelete