..

..
.

Friday 31 May 2013

Uamuzi wa P-Funk Majani kuzuia nyimbo za Ngwea na bongo Records zisipigwe Clouds Fm ni sahihi?Asema ametafakari alichoambiwa na Ngwea, Msikilize hapa




Producer mkongwe aliyepewa jina la Super Dupa Producer, P-Funk Majani ameamua kuzuia nyimbo zake alizotengeneza bongo Records zikiwemo za marehemu Albert Mangwea zisipigwe Clouds Fm na kwamba tayari ameshawataarifu na ameongea na Cosota ili swala hilo liwe kisheria zaidi.Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kutafakari alichokua akiambiwa na Marehemu Mangwea

No comments:

Post a Comment

KARIBU