Bondia
Alan Kamote kulia akimshambulia Deo Samweli wakati wa mpambano wao
uliofanyika Manzese Dar es salaam kamote alishinda kwa point na kumuacha Deo kuto amin Kamote alidhihirisha hayo mapema tu katika raundi ya pili ya mchezo wake huku Deo akiwa amepanki na kumpa nafas zaid Allan Kamote na kumshinnda mpinzan wake Deo Samweli |
No comments:
Post a Comment