Jackson Muvangila Makweta (kulia) enzi za uhai wake |
Taarifa zilizothibitishwa leo zimedai kuwa Makweta amefariki baada ya kuugua na kulazwa katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi Lugalo ambako ndiko alikokuwa amelazwa.
Makweta alikuwa ni miongoni mwa watu wachache waliokuwa wakishikilia rekodi ya kudumu na cheo cha ubunge kwa muda mrefu nchini kwani aliingia madarakani mwaka 1975 na kung'olewa mwaka 2010.
No comments:
Post a Comment