..

..
.

Saturday, 20 October 2012

WAZEE WAKIMANU MANU COAST UNION KUSHINDA BAO 3 KWA 1 ZIDI YA MTIBWA SHUGA


Kipindi cha kwanza kwa Coast kilionekana kuwa kizuri baada ya dakika chache tu za kwanza kuzaa tunda jema la goli la kwanza ambalo lililofungwa na Juma Jabu

Cost ilizidi kuonyessha uwezo kwa wapinzani wao mtibwa sugar baaada ya dakika kadhaaa kuongeza bao la pili ambalo lilikuwa zawadi kwa kipindi hicho cha kwanza lililofungwa na Daniel yanga .Hakika mtibwa nao hawakuamua kulaza damu japokuwa walikuwa ugenini walirudisha bao hilo kwa hasira kali amalo lilipatikana kwa faulu

Hichi ni kipindi cha pili ambacho kiliwanyongonyeza Mtibwa sugar kwa kufungwa bao la 3 na mshambuliaji matata Lameck

Mashabiki wa cost wakiwa wakunwa vilivyo na mabao yaliyo patikana katika vpindi viwilli na kushida kwa mabao 3-1

No comments:

Post a Comment

KARIBU