Mitaa
ya Kariakoo na viunga vyake ikiwa imeimarishwa na Askari wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika mitaa ya Kariakoo leo
Ulinzi uliimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika mitaa ya Kariakoo leo
Wanajeshi wakivinjari katika mitaa ya Kariakoo leo
Muumini
wa dini ya Kiislamu akishahadia kwa mola wake na kusema nipo tayari
kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah baada kukamatwa na Askari wa
Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu. (Picha zote na Happiness Mnale)
Safari ya kuelekea Kituo Kikuu ilianza
Askari
wa Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wakimwingiza katika gari muumini
wa Kiislamu aliyekamatwa katika viunga vya maeneo ya Ikulu
Barabara
ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa
zimefungwa na Askari Polisi kufuatia vurugu zilizotokea leo
Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki
Askari
wa jiji wakishiriki kikamilifu katika zoezi la kuwakamata watu
waliokuwa wamekusanyika kwa nia ya kutaka kuandamana katika eneo la
Kariakoo
Magari
ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa katika doria katika barabara
ya Msimbazi ambako kulitokea vurugu zilizosababishwa na waislamu
waliotaka kuandamana.
No comments:
Post a Comment