RICK ROSS KUTUA BONGO KWA AJILI YA SHOO KALI YA FIESTA TANZANIA
William Leonard Roberts II 'Rick Ross'.
MWANAMUZIKI kutoka Marekani, William Leonard Roberts II 'Rick Ross'
anataraji kutua nchini leo saa tano usiku tayari kwa shoo yake ya kesho
pale viwanja vya Leaders.
No comments:
Post a Comment