..

..
.

Friday, October 5, 2012

TAMADUNI ZA MUA FRICA KUENDELEA BAADHI YA NCHI

Huyu ni muafrica halisi alieshiba iman za kikabila ambazo kipindi hicho cha nyuma zilikuwa zikifanya kazi na kuonekana zina faida kwa jamii husika lakini kwa sasa zimekuwa zikipuuzwa na pia kuonekana zimepitwa na wakati hivyo basi watu wa aina hii wameonekana ni kiroja katika jamii ya leo na hupingwa katika asilimia kubwa sana.
Je kudharau tamaduni zetu kutatufikisha wapi ?
Na je kuka ribisha tamaduni za kigeni hapa afrika kunatujengea nini ?
Kwa ushahidi wa hili la kukaribisha tamaduni za kigeni kumeleta madhara mengi sana ambako kumesababisha kupeleka kwa muafrika kudharau tamaduni zake kuona kuwa zimepitwa na wakati na kwa kila kizazi kinacho kuja kimekuwa hali ya kutothamin tamaduni za kwao na pia kunapoteza uhalisia wa mahala husika kwa mfano alie zaliwa mjini sasa hivi kijijin hakuthamin tena kwa sababu hajui kuna umuhimu gani wala hadith au kivutio chochote hakuna .

No comments:

Post a Comment

KARIBU