Baadhi ya waislamu wakiwa na mabango yanayolaani filamu ya kashfa dhidi ya Mtume (S.A.W).
Mmoja wa waislamu akionyesha hisia zake wakati wa mkutano.
Askari wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) wakidumisha ulinzi eneo la mkutano.
Waislamu wakizidi kulaani kashifa hizo kwa nguvu zote.
MAMIA ya waumini wa dini ya Kiislamu
leo wamefanya mkutano katika Uwanja wa Kidongo Chekundu uliopo jijni Dar
es Salaam wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kulaani filamu
ya kumkashifu Mtume Mohammad.
Katika mkutano huo viongozi wa dini hiyo
walitoa tamko lenye vipengele kadhaa, ikiwemo kuiomba serikali kuufunga
mara moja Ubalozi wa Marekani nchini.
No comments:
Post a Comment