Chama cha CUF Tanzania kimesema kupatiwa usajili wa kudumu
kwa chama kipya cha ADC ambacho wanachama na viongozi ni wale waliotoka chama
hicho cha CUF hakumaanishi ushawishi wa chama hicho sasa umefika mwisho wake.
Akizungumzia kusajiliwa kwa chama hicho mwenyekiti wachama
cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba hata hivyo ametilia wasiwasi
namnachama hicho kilivyopata usajili wa kudumu tofauti na inavyokuwa kwavyama
vingine vya siasa.
Na suleiman KIBUGA
No comments:
Post a Comment