Bi Bi Subira Mgalu Mkuu wa wilaya Mheza
WAJUMBE
VIONGOZI
MBALIMALI WA MKOA WAKICHANGIA MAONI KATIKA KIKAO CHA
VIONGOZI WA MKOA
KILICHOKUWA NA LENGO LA KUJADILI AGENDA MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA TATHMINI
YA ZOEZI LA SENSA MKOA WA TANGA , TATHMINI YA NANE NANE..MWENYE GAUNI
JEKUNDU NI MKUUWA WILAY YA MUHEZA BI SUBIRA MGALU AKICHANGIA MAONI
KUHUSIA NA TATHMINI YA ZOEZI LA SENSA MARA BAADA YA KUWASILISHWA NA
MRATIBU WA SENSA MKOA WA TANGA TONY MWANJOTA,ALIYEVAAAMIWANI KAKAA NI
MKUUWA WILAYA YA MKINGA MBONE MGAZA AKISIKILIZA KWA MAKINI KUWASILISHWA
KWA TAARIFA ZA MIRADI YA UTEKELEZAJI WA MAJI,ALIYESIMAMA NI MKUU WA MKOA
WA TANGA LUTEN MSTAAFU CHIKU GALAWA AKIFUNGUA KIKAO HICHO.
No comments:
Post a Comment