..

..
.

Sunday 1 July 2012

WANAHARAKATI, MADAKTARI BINGWA WAMSINDIKIZA DK. ULIMBOKA AIRPORT


 Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka wakati gari lililombeba likiwa limesimama katika lango la kuingilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, tayari kusafirishwa kwenda India kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya. Picha zaidi uk. wa 3. (NA MPIGAPICHA WETU)




Wanaharakati wakiwa na mabango walipokwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kumsindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka aliyekuwa anasafirishwa kwenda India kutibiwa baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya

No comments:

Post a Comment

KARIBU