..

..
.

Tuesday 17 July 2012

RAis Kikwete arejea nchini akitokea addis ababa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik  na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.

No comments:

Post a Comment

KARIBU