Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa
Liberia alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na
dhifa ya kitaifa. rais huyo wa Liberia yupo nchini kwa zira ya kiserikali ya
siku tatu kufuatia mualiko wa Rais Jakaya Kikwete.
Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberi, na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakifurahia jambo wakati wakipokelewa na wanafunzi Ikulu
No comments:
Post a Comment