Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe
Kutoka Hongda Group, Beijing China, wakati ujumbe huo ulipofiak ofisini
kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa
mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya
picha wakati akikabidhiwa zawadi ya picha na Mwenyekiti wa umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu (katikati)
na Mjumbe, Liu Canglang, wakati ujumbe huo ulipofiaka ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
No comments:
Post a Comment