..

..
.

Saturday 14 July 2012

DK. SLAA AKUBALI AMRI YA KUHOJIWA NA POLISI KUHUSU MADAI YA NJAMA ZA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA KUUAWA

Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho  juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini,
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea

No comments:

Post a Comment

KARIBU