..

..
.

Saturday 30 June 2012

Tamko La Madaktari Bingwa MNH, MUHAS Na ORCI



Mkutano wa Maspecialist MNH, MUHAS NA ORCI  umekwisha na wameamua kuungana rasmi na madaktari wote nchini katika mgomo na kusitisha utoaji wa huduma zote zikiwemo za dharura Pia wanatoa wito kwa maspecialist wengine kote nchini kuungana katika mgomo huu.

    Pia wanalaani vikali vitisho na manyanyaso yanayofanywa na vyombo vya dola (serikali) dhidi ya madaktari na wameitaka serikali kutoa tamko la kuwahakikishia usalama madaktari kote nchini.

    Pia kuna haja ya kuweka modality ya kumsafirisha Dr. Ulimboka kwenda nje ya nchi kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu zaidi zinahitajika $40,000(sawa na takribani tsh milioni sitini na nane 68000000).

No comments:

Post a Comment

KARIBU