YUSUPH MANJI
Muda mchache uliopita nilitoa taarifa
za kuhusu Yusuph Manji kuchukua fomu za kugombea uenyekiti wa klabu ya
Yanga, bila kuwepo kwa uthibitisho kwamba amechukua kwa ajili yake au
kamchukulia mtu.
Ben Kleb akimkabidhi jezi Haruna Niyonzima
Lakini sasa kwa taarifa nilizozipata
kutoka kwa mmoja ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi wa Yanga, amethibiisha
kwamba Manji amejichukulia fomu mwenyewe ya kugombea uenyekiti, huku
akimchukulia aliyekuwa mjumbe wa kamati ya usajili Abdallah Ahmed Bin
Kleb fomu za kugombea umakamu mwenyekiti.
_____________________________________________________________________________________
No comments:
Post a Comment