Bondia Floyd Mayweather leo ameanza
kifungo cha miezi 3 jela alichohukumiwa mwezi Desemba mwaka jana
kutokana na kuvunja sheria kwa kufanya ugomvi. Wakati akielekea Jela
Mayweather alisindikizwa na rafiki yake kipenzi mwanamuziki 50 Cent.
Mayweather akitiwa pingu na polisi kuelekea kwenye karandinga.
Nenda dogo nitakumiss kaka yako" 50 Cent na Mayweather
Hiki ndio chumba atakachokaa Mayweather kwa miezi 3
No comments:
Post a Comment