Ajali hii imetokea alfajir ya leo kwenye makutano ya mandela road na
kilwa road ilihusisha malori mawili kwenye taa za kuongozea magari
uhasibu ambapo mashuhuda walisema lori la kampuni ya Azam halipo
pichani, lilishika breki ghafla katikati ya taa za kuongozea kupisha
gari ndogo iliyokuwa ikitokea jitegemee kwenda sabasaba,dereva wa lori
alishindwa kulidhibiti wakati akijaribu...
No comments:
Post a Comment