Waziri wa Nchi ofis ya Rais
(Utawala Bora) George Mkuchika(kulia) akijadiliana jambo jana mjini
Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Tanga mh. Omar Nundu (kushoto) mara baada
ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa
nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club
ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto)
akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano
Mahenge (kulia) leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na
majibu kumalizika:
No comments:
Post a Comment