Mwanataaluma
mkongwe Profesa Goran Hyden akijibu hoja na maswali mbalimbali
yalitolewa na wahadhiri na wanataalumu mbalimbali kutoka ndani na nje ya
Tanzania jana mjini Dar es salaam wakati wa kongamano la siku moja la
wanataaluma liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la
kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania kitaalumu.
No comments:
Post a Comment