Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika stika hizo.
Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama
Barabarani akizungumza na Waandishi wa Habari Mara baada ya kuzindua
kampeni ya kubandika stika zenye namba za simu za vituo mbalimbali
ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa taarifa za usalama na
matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani. Kampeni hiyo inadhaminiwa na
benki ya posta (TPB)
No comments:
Post a Comment