..

..
.

Sunday, June 24, 2012

Chungu Tamu: Picha ya Obama na Michelle wakisakata ‘rhumba’ yapokelewa kwa hisia tofuati

Jana mke wa rais Barack Obama, Michelle aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomwonesha akiwa amekumbatiana na mumewe wakicheza muziki. Ni picha nzuri kwakweli, inaonesha kwa hakika kabisa kuwa hawa ni miongoni mwa best couples in the world. 
Pamoja na stress za cheo kikubwa kabisa nchini Marekani cha urais na pressure za ‘haters’ wakati uchaguzi wa nchi hiyo ukikaribia, Obama hajataka kuziruhusu zimwondolee wajibu wake wa kutoa mahaba mazito kwa mkewe. Sura ya Michelle inaonekana nusu kwakuwa picha imepigwa mgongoni mwa Obama, lakini unaweza kuiona sura yake ilivyo na tabasamu lenye upendo usio na kifani kwa mumewe! They just look lovely!
Angalia jinsi mikono yao ilivyoshikana!! Isn’t that sexy guys? Na hebu uangalie mdomo wa Obama, anapiga mluzi sio? Safi sana.
By the way, mpaka leo asubuhi picha hii ilikuwa ina likes 169,527 , comments 8,784 na kusambazwa (shared) mara 13,409.
So watu wanaiongeleaji picha hii?
Raquel Brown-Kyser: OMG ! I love it !! It is beautiful to show black love in the White House !!
Stephanie Newcomer: What a beautiful couple! That love is genuine.
Karen Trotman: My DEAR, Mr. President – I am waiting for an invite to dance with you, and thank you kindly in advance for my receipt of it!! FYI – if Michelle is a better dancer, well………you two are a wonderful and beautiful couple and always in my prayers – Bless your hearts!!!
Louise Bernard: that is sooooo sweet. it feels good to see the President of USA taking the time to be a little sentimental with is wife Michelle.
Patt Newbill: Mr. President’s expression say “I Still can make that move” and the First Lady’s smile say “Oh yes you can!”
Jan Landon Edwards: It’s great to see the President & the First Lady to have a chance to dance together they look awesome, but very sad that some people bad mouth the President for showing he still loves to dance & be able to hold his wife & even show the world that there is still love between them & take a small amount of time for each other. I feel sad for those who feel they have to criticize them for showing they still love to take just a little time for each other. But then those who criticize this love they still have for each other, probably wish they had someone to share this kind of love with. I THINK THE PRESIDENT & FIRST LADY LOOK AWESOME. GOT MY VOTE
Na vipi kuhusu comments za haters!!!
Amira Khalil: In case of there are any Americans here .. of course there are :) .. would you please ask your President why he is supporting The Muslim Brotherhood group against our army ,The Muslim Brotherhood killed Sadat and “apparently” blown the WTC, why he is putting his hand in the hands of the people that killed his own people? and funding them! That is very hard for us to understand here in Egypt!!

No comments:

Post a Comment

KARIBU