Mwenyekiti wa CCM Taifa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha
maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Utawala CCM Makao Makao Makuu
Dodoma marehemu Mwangunza Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana.Marehemu Kinyamagoha alifariki hivi karibuni.
Rais Kikwete akiifariji
familia ya Marehemu Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana kabla
ya kurejea jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment