JK AMWAPISHA KATIBU TAWALA MKOA WA RUVUMA, APOKEA VITABU VYA HADITHI YA KIKWETE
Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Ruvuma Bwana Hassan Mpapi Bendeyeko akila
kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
TATAKI Dkt.Aldin Mutembei akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
kitabu cha kwanza cha fasihi simulizi ya jamii ya Wakwere ikulu jijini
Dar es Salaam leo.Kulia anayeshuhudia ni Mkuu wa Idara...
No comments:
Post a Comment