..

..
.

Saturday, 16 June 2012

AJALI ROLI LIMEANGUSHA "KATAPILA"

Chanzo cha ajali hii hakikuweza kufahamika mapema, ambapo Roli hili lilikuwa limebeba Katapila hili la kuchongea barabara na kuangua eneo la Africana Mbezi Beach, kama ilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto, leo asubuhi

1 comment:

KARIBU