RAIS wa Umoja wa Maaskofu Afrika Mashariki na Kiongozi wa Kanisa la
Anglikana Tanzania, Askofu Dk Valentino Mokiwa amesema waumini Wakristo
hawaridhishwi na utendaji kazi wa Polisi ukiwemo ufuatiliaji wa matukio
ya kuchomwa moto kwa makanisa visiwani Zanzibar.
Akizungumza katika kikao kilichokutanisha viongozi wa Dini na Serikali
katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa
No comments:
Post a Comment