Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi,
wakisainiana mkataba wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali
yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili, wakati wa hafla hiyo fupi
iliyofanyika kwenye........ Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam
jana Mei 30, 2012.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...............
No comments:
Post a Comment