Wednesday, 30 May 2012
UMOJA WA MATAIFA YA WAENZI WALINZI WA AMANI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Ban Ki Moon, akimkabidhi Meja
Wilbert Ibuge, Mwambata Jeshi katik Ubalozi wa Tanzania Umoja wa
Mataifa, Medali ya Dag Hammarskjold aliyotunukiwa Sgt Gabriel Hugo
Kisusange ambaye alipoteza maisha wakati akihudumu katika Operesheni ya
Ulinzi wa Amani katika Jimbo la Darfur nchini Sudani. Ban Ki Moon
alikabidhi medali hiyo kwa wanajeshi, polisi na raia...................................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Greetings from Spain.
ReplyDeletethank you mister good day
ReplyDelete