Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara wa zamani, Idd Simba akiongozwa
na askari Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam jana kujibu mashata 8 likiwemo la kula
njama na, kughushi pamoja na kulitia hasara Shirika la Usafiri Dar es
Salaam UDA zaidi ya Sh. milioni 300. Mshtakiwa huyo alifikishwa
mahakamani hapo pamoja na washtakiwa...................................................
No comments:
Post a Comment