Wakili Bernadetha Mkandya ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha
Wanasheria wanawake (TAWLA) akiwasilisha mada katika semina ya
waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali iliyoandaliwa na TAWLA
inayozungumzia Mabadiliko ya Katiba na haki ya Afya ya Uzazi salama
inayofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pear Ubungo Plaza jijini Dar es
salaam hivi sasa.Moja ya mada zilizochukuwa muda mrefu kujadiliwa..............
No comments:
Post a Comment