Baada ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc
wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea
rasmi Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare
Maajar akipata picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani.
Wabunge wa Chadema Mhe. Peter Msigwa wapili kushoto, Mhe. Nassari
Joshua, Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi Mhe.
Peter Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka pamoja naviongozi wa
tawi la Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi Mhe.
Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei
29,2012 Washington Dc Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment