Askofu
Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dkt. Valentino Mokiwa (wa kwanza
kulia) akizungumzia kadhia iliyojitokezea Zanzibar ya kuchomwa moto kwa
Makanisa mbalimbali. Alizungumza huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar walipokutana Maaskofu mbalimbali na Waziri
wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed
(picha: Salma Said, Zanzibar)Jopo la Maaskofu wa madhehebu mbalimbali nchini jana wameitolea uvivu.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya
uharibifu wa makanisa visiwani humo. Akizungumza kwa niaba ya maaskofu
hao mbele ya. Waziri wa Nchi Katika ofisi ya Makamu wa Pili Mohamed
Aboud, Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican Dkt. Valentino Mokiwa, alisema
kuwa vitendo hivyo sasa vimekithiri na kwamba hawaoni Serikali hiyo
ikichukua hatua madhubuti hivyo Wakristo wamechoka
No comments:
Post a Comment