KIKOSI CHA COASTAL UNION CHA KAMILIKA KWA WACHEZAJI WOTE KUWEPO MAZOEZINI
Jana
nilizungumza na mwalimu Chippo, amefurahishwa na vijana namna
wanavyopiga mazoezi kwa kujituma na kufanya kila wanachofundishwa kwa
usahihi...... Una maoni? Kwa walio Tanga hebu tupeni tathmini ya mazoezi
ya vijana wetu.
No comments:
Post a Comment