Kikosi cha U R A
Kikiwa
kamili kiokosi hiocho hapo juu kimesha cheza na timu maarufu jiji Dar
es salam ambapo ni timu kati ya Yanga African Sports Club Simba Sports
Club
Na leo hii ita
cheza na timu maaruf ilioyojipanga vyema kuwasha moto wake katika jua la
saa tisa za mchana wakiwa na viungo wakali walio wasajili katika
maandalizi ya ligi ya voda com na pia kwa kuiweka timu iwe katika hadhi
ya juu zaid Coast wao wamejipanga vyema kuumana na wapinzani wao U R A
na pia ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu kubwa kama hyomkucheza katika
uwanja wa mkwakwani toka miaka mingi tu iliopia
Kikosi cha Timu ya Coastal Union
Waswahili
wanasema leo ni leo asemae kesho muongo hakika ile kiu ya wana Coast
jiji Tanga walikua na hamu ama Kiu ya kucheza na timu kubwa kwa ajili
ya kujipima nguvu na pia kwa wachezaji wapya leo imetimi Hivyo Coast leo
itavurumisha vumbi lake la Mkwakwani jijini kwa uwezo wao wote kwa
kukusudia ushindi
Ni mwandishi wako abull makavell mmiliki halali wa blog hiii
No comments:
Post a Comment