..

..
.

Monday, December 31, 2012

NI MR BLUU A . K . A KABAYSA LEO KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA JIJI LA MWANZA

Usiku wa leo yong bab lon  r Bluu atakinukisha ndani ya jiji la Mwanza katika usiku wa mwaka mpya
aliyasema hayo katika radio kiss fm akifanya mahojiano leo mchana mr bluu amesemakuwa leo atawafuraisha mashabiki wake kwa kupitia nyimbo zake za kipindi na za sasa .Pia amewaambia mashabik wakae mkao wa kula kwa kusubiri tunzo  bomba za mwaka 2013.

No comments:

Post a Comment

KARIBU