..

..
.

Monday, November 5, 2012

TRAFIKI WAMPA KICHAPO MWANAJESHI MJINI MOSHI

MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam 

Trafiki wa Moshi  huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika walimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kituo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana....

mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.

No comments:

Post a Comment

KARIBU