Hizo pirika za kutafuta bao la pili kwa cost lakin ilikuwa ngumu baada ya polis moro kukaza kwa kuamua kutafuta bao
Harakati kwa Cost zilionekana toka mpira unaanza na kufanikiwa kupata goli moja katika kipindi cha kwanza
Kipindi cha pili kilikuwa kigum sana kwa Cost polis moro waliamua kutafuta goli kwa udi na uvumba lakin juhudi zao zilikuwa ni bure kabisa
No comments:
Post a Comment