Gari la mizigo aina ya Nissan lenye namba za usajili T 761
BRN likiwa limegongana uso kwa uso na gari la kubeba mchanga aina ya Fuso lenye namba za usajili T 390 CBM
(lililopo kwenye mtaro) katika barabara ya Morogoro karibu na kituo cha Mabasi
cha Kibaha Mjini mkoani Pwani leo asubuhi jumatano Nov 28, 2012. Katika ajali
hiyo hakuna abiria aliyefariki wala majeruhi.
No comments:
Post a Comment