..

..
.

Thursday, 11 October 2012

BUSHOKE AJIPANGA KUTOKA NA "SINGING FOR YOU".....



Hitmaker wa Dunia Njia, Ruta Bushoke hivi karibuni anatarajia kuja na ngoma mpya aliyoipa jina la ‘Singing for You’.

Akiongea na mwandishi wetu , Bushoke amesema wimbo huo ameurekodia nchini Afrika Kusini kwenye studio za baba yake Mzee Max Bushoke zilizopo nchini Afrika Kusini ziitazwo Afro Studio.

Amesema video ya wimbo huo anaifanyia Afrika Kusini ambako anaishi kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

KARIBU