Jukwaa la Wahariri nchini Tanzania (TEF) na
Baraza la Habari la Tanzania (MCT) wametaka uchunguzi huru kwa kifo cha
mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, liliripoti gazeti la The Citizen la
nchi hiyo hapo Jumanne (tarehe 4 Septemba).
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Robert Manumba,
aliliambia gazeti la Daily News la Tanzania kwamba ataongoza uchunguzi
wa tukio hilo. TEF na MCT wamekubali kuchangia kwenye uchunguzi huru
.
Makala zinazohusiana
No comments:
Post a Comment