..

..
.

Friday 31 August 2012

TUHUMA ZA UGUMBA ZAMTESA AMANDA

  BAADA ya hivi karibuni msanii wa filamu Bongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ kutukanwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa ni mgumba, mwenyewe amefunguka na kusema madai hayo si ya kweli.

Akiongea  na  mwandishi wetu , Amanda alikiri kutukanwa katika mtandao kuwa yeye ni mgumba kwa vile alikaa kwenye ndoa kwa miaka minne bila kuzaa.

“Mimi si mgumba, niliwahi kubeba mimba miaka ya nyuma ikatoka. Pia umri wangu bado mdogo kuitwa  jina hilo, sikutaka kuzaa kwenye ile ndoa kwa sababu zangu,” alisema Amanda.

No comments:

Post a Comment

KARIBU