..

..
.

Friday 31 August 2012

JARIDA LA HISPANIA LAMCHAFUA MKE WA RAIS OBAMA NA KUMTOA KAMA MTUMWA


Jarida la Ufaransa la Fuera de Serie limeifanyia photo-shopping picha ya sura ya first lady wa Marekani Michelle Obama na kumuonesha kwenye picha ya karne ya 19 wakati wa utumwa.

Kava hilo limesababisha mjadala mkubwa iwapo picha hiyo ni ya kisanii tu ama imemdhalilisha mke huyo wa rais Obama.

No comments:

Post a Comment

KARIBU