RAISI JAKAYA KIKWETE AUDHURIA SABASABA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi katika viunga vya
uwanja wa maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Wananchi
walijipanga njiani na kusalimiana naye wakati yeye na Mama Salma Kikwete
walipokuwa wakitembelea banda moja hadi lingine.
No comments:
Post a Comment