IKULU:Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi wa Maji Safi na Mazingira Mjini Mbeya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris
Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini Cerian
Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter
Brandes na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikata utepe
kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya jana mchana.
No comments:
Post a Comment